MAHAKAMA ya Tanzania imemaliza mashauri ya kimkakati yanayohusisha biashara, uchumi, kodi na ardhi yenye thamani ya Sh trilioni 13.1 na fedha hizo zimeingia kwenye mzunguko wa matumizi. Msajili Mkuu wa Mahakama Tanzania, Eva Nkya amesema mashauri hayo 2,973 yalisikilizwa katika kipindi cha kuanzia Novemba 3 hadi Desemba 15, mwaka jana. Nkya aliwaeleza waandishi wa habari … The post Mahakama yatia fora kesi za kimkakati first appeared on HabariLeo .