Bilioni 6.8 zaongeza matumaini ya nishati safi Kisemvule, Pwani

Utekelezaji wa mradi wa kusambaza gesi asili katika eneo la Kisemvule, wilayani Mkuranga mkoani Pwani, umeendelea kuibua matumaini mapya kwa Wananchi wa eneo hilo ambapo zaidi ya shilingi bilioni 6.8 zimewekezwa katika kusambaza gesi asilia katika maeneo yaliyopitiwa na mkuza wa bomba la gesi asilia. Mradi huo umejengwa na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania …