Mwigulu: Hakuna mwenye haki kuliko mwingine

WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema Tanzania ni nchi ya wote na hakuna mwenye haki kuliko mwingine. Dk Mwigulu alisema hayo wakati akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara Ngaramtoni mkoani Arusha. “Tanzania ni nchi ya wote, isitokee kwamba mtu akiwa na fedha yeye ni Mtanzania na nusu na aliye masikini ndio Mtanzania. Watanzania wote … The post Mwigulu: Hakuna mwenye haki kuliko mwingine first appeared on HabariLeo .