‘Kilimo kinahitaji uwekezaji wa kutosha’

MOROGORO: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, sekta ya kilimo inahitaji uwekezaji wa kutosha katika mashamba makubwa, matumizi ya teknolojia za kisasa  na mitaji ya kutosha. Profesa Mkumbo amesema hayo Februari 23,2026 wakati wa ziara yake ya kikazi … The post ‘Kilimo kinahitaji uwekezaji wa kutosha’ first appeared on HabariLeo .