CRDB yaja na dhamana mbadala wachimbaji madini

SERIKALI kupitia Tume ya Madini, Benki ya CRDB na wachimbaji wadogo wamesaini mpango maalumu wa mikopo kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu. Wakati wa kusainiwa makubaliano hayo Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alisema mikopo hiyo imezingatia mambo mengi zikiwamo dhamana mbadala badala ya dhamana ya mali zisizohamishika. “Huu ni muundo … The post CRDB yaja na dhamana mbadala wachimbaji madini first appeared on HabariLeo .