Jengo la bil 2/- kusaidia watoto njiti Kwimba

MWANZA: TAASISI ya Doris Mollel imefanikisha ujenzi wa jengo jipya la kisasa maalumu kwa ajili ya kutoa huduma bora kwa watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) lililopo katika Hospitali ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza. Jengo hilo lenye thamani ya Sh bilioni 2 linatarajiwa kuzinduliwa rasmi Februari 28,2026 na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani … The post Jengo la bil 2/- kusaidia watoto njiti Kwimba first appeared on HabariLeo .