WATATU WANASWA KWA UTAPELI RUVUMA

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linawashikilia watuhumiwa watatu waliokuwa wakijiusisha na shughuli za utapeli maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma na Mikoa Jirani.   Akizungumza kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamishna Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Marco G. Chilya jana  Februari 23,2026 katika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi Mkoa Ruvuma alisema kuwa mnamo […] The post WATATU WANASWA KWA UTAPELI RUVUMA appeared first on Jambo TV Online .