KAGERA; WAKALA wa Barabara (TANROADS) na wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura), wamekutana na wadau mbalimbali wa barabara wakiwemo wabunge mkoani Kagera. Kikao hicho kilikuwa maalumu kwa ajili ya kuwasilisha rasimu ya bajeti ya kutengeneza barabara na madaraja kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kagera, Joel Samwel, amesema wanakadiria … The post TANROADS, TARURA Kagera wateta na wadau wa barabara first appeared on HabariLeo .