Mfumo wa Kielektroniki wa Ununuzi wa Umma (NeST) unatarajiwa kuondoa changamoto ya ucheleweshaji wa malipo kwa wazabuni mara baada ya kuunganishwa kikamilifu na mifumo ya malipo na bajeti ya Serikali, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeelezwa. Wasilisho hilo lilitolewa na Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) mbele ya Kamati hiyo katika […] The post NeST KUONDOA UCHELEWESHAJI WA MALIPO KWA WAZABUNI – PPRA appeared first on Jambo TV Online .