TUNDU LISSU ASHINDA MAPINGAMIZI, USHAHIDI WA ZIADA WAKATALIWA

Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imekubaliana na mapingamizi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu juu ya kupinga uhalali wa notisi ya ushahidi wa ziada wa ACP Amini Mahamba katika kesi ya uhaini inayomkabili Lissu ambapo imesema notisi hiyo haikidhi sifa kwa mujibu wa kifungu cha 308 cha Sheria ya Mwenendo wa […] The post TUNDU LISSU ASHINDA MAPINGAMIZI, USHAHIDI WA ZIADA WAKATALIWA appeared first on Jambo TV Online .