Namna ya kukabiliana na homa, mafua ya msimu

Kufuatia kuzuka kwa ugonjwa wa mafua makali, homa na kikohozi, wakazi wa Jiji la Dodoma wametakiwa kunawa mikono mara kwa mara ili kujikinga na maambukizi ambayo yanaenea kwa kasi.