DKT. NANAUKA: “ACHENI KUMEZA HABARI HASI”; AWASHAURI VIJANA TABORA KULINDA NDOTO ZAO DHIDI YA KELELE ZA JAMII.

Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana Joel Arthur Nanauka amesisitiza Vijana wa Kitanzania kujiepusha na taarifa hasi katika maisha yao kwa kuchagua na kuchuja kile ambacho kijana anachokisikiliza, akisema katika maisha zaidi ya asilimia 85 ya taarifa wanazozipata Vijana wa Kitanzania zimekuwa taarifa hasi. Akizungumza kwenye Kongamano la Vijana Mkoani Tabora, Mhe. […] The post DKT. NANAUKA: “ACHENI KUMEZA HABARI HASI”; AWASHAURI VIJANA TABORA KULINDA NDOTO ZAO DHIDI YA KELELE ZA JAMII. appeared first on Jambo TV Online .