Naitwa Sophia, mwanamke ambaye tangu nikiwa shuleni nilijulikana kwa urembo wangu wa kipekee na akili nyingi. Baada ya kuhitimu masomo yangu na kuanza biashara zangu hapa jijini Mwanza, nilitegemea kuwa mambo ya mahusiano yangekuwa rahisi kwangu. Lakini kinyume na matarajio, maisha yangu ya kimapenzi yalikuwa ni kitendawili kisichotegulika. Kila mwanaume niliyekuwa naye, alikuwa akinitumia tu […] The post Kila mwanaume niliyekuwa naye, alikuwa akinitumia tu na kisha anasepa zake appeared first on Jambo TV Online .