KATIKA siku 100 za mwanzo za uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakulima wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea na Halmashauri jirani ya Madaba wameanza kushuhudia kile kinachoweza kuitwa mwanzo wa mapinduzi ya kilimo Mkoani Ruvuma. Serikali imepeleka jumla ya matrekta 15 katika mkoa huo, matano yakielekezwa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba, matano Halmashauri ya … The post Siku 100 za Rais Samia zinavyoashiria mapinduzi ya kilimo first appeared on HabariLeo .