DODOMA; Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dk Samia Suluhu Hassan akipiga light pistol juu kuashiria uzinduzi wa jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo mkoani Dodoma leo Februari 24, 2026. The post Rais Samia azindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa first appeared on HabariLeo .