Makamu wa Rais wa zamani, Chuo Kikuu cha Minnesota, aliyeshughulika na utafiti, Brian Herman, katika mahojiano aliyoyafanya baada ya kashfa ya fedha za Epstein vyuoni alisema, “kuna wito mkubwa na muhimu wa kupata fedha kwa ajili ya kuwezesha kazi za kitivo na wafanyakazi.