Tanoga inavyoongeza ufanisi, kupambana na bidhaa bandia

Mfumo huu wa kidijitali unarahisisha uhakiki wa bidhaa, unalinda walaji, unahakikisha wamiliki wa nembo wanapata thamani halisi, na unazuiwa bidhaa zenye shaka mara moja.