Stamico, Plantcor wasaini ubia, utafiti na uchimbaji madini Bukombe

Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (Stamico) imesaini mkataba wa ushirikiano na kampuni ya uchimbaji madini ya Plantcor kutoka Afrika Kusini kwa ajili ya kufanya utafiti na uchimbaji wa madini katika Pori na Hifadhi ya Msitu wa Kigosi, uliopo wilayani Bukombe mkoani Geita.