Little ride yathibitisha dhamira yake katika sekta ya usafirishaji Tanzania kufuatia kuondoka kwa Uber
Little ride, ni jukwaa la usafirishaji lililojengwa barani Afrika, leo limethibitisha upya dhamira yake ya kuendelea kuwekeza na kuhudumia soko la Tanzania kufuatia kujiondoa kwa Uber nchini.