Kauli ya Dk Mwigulu ya vidumu shuleni yawaibua wadau

Wakati Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akipiga marufuku wanafunzi wa sekondari na msingi kubeba vyombo vya maji maarufu vidumu shuleni maarufu vidumu, wadau wa elimu wamekuwa na mitazamo tofauti juu ya uamuzi huo.