Wananchi kufurahia malipo haraka kupitia Lipa Simple

Akizungumza akiwa Mwenge Dar es Salaam leo, katika ziara maalum ya kutembelea wateja na kutoa elimu juu ya huduma hii, Mkuu wa Huduma za Kidijitali,  Edward Balandya amesema kuwa: “Kwa kipindi maalum hadi Aprili 2026, miamala ya zaidi ya TZS 40,000 itatozwa ada ya TZS 1,000 tu, ikiruhusu wateja kulipa kiasi kikubwa kwa gharama ndogo.” …