Jumla ya Kaya 41,709 zilipo katika vijiji na mitaa 60 ambapo ni makundi maalum kupitia TASAF Mkoani Kilimanjaro zimetambuliwa na uandikishwaji unaendekea ili kupatiwa huduma ya bima ya afya kwa wote Hayo yameelezwa Februari 24,2026 na Katibu wa Siasa, Itikadi na uenezi wa Ccm Mkoa wa Kilimanjaro Komredi Abraham Urio wakati alipokuwa akizungumza na vyombo […] The post KAYA 41,709 ZATAMBULIWA KUPATA BIMA YA AFYA SIKU 100 ZA DKT.SAMIA appeared first on Jambo TV Online .