Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero inatarajia kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 73 katika mwaka wa fedha 2026/27 kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato. Fedha hizo zinatarajiwa kutumika kutekeleza miradi ya maendeleo pamoja na kugharamia matumizi ya kawaida ya halmashauri, ikiwemo mishahara ya watumishi. Kati ya makisio hayo, shilingi bilioni 6 zinatarajiwa kukusanywa kutoka vyanzo vya ndani, …