Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kuchukua hatua mbalimbali kushughulikia upatikanaji wa huduma za kijamii katika sekta ya afya, maji, na umeme kupitia utekelezaji wa miradi ya maendeleo na sera zinazomlenga mwananchi. Akizungumza wakati akiwasilisha hotuba ya Tanzania katika Kikao cha 61 […] The post WAZIRI HOMERA ANADI UN MIRADI YA KIMKAKATI INAYOTEKELEZWA NCHINI appeared first on Jambo TV Online .