KENYA inaingia katika kipindi nyeti cha kiuchumi huku ikikaribia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, wakati changamoto kadhaa za uchumi zikiendelea kuathiri maisha ya wananchi na utulivu wa nchi. Licha ya kuwepo kwa dalili za ustahimilivu katika baadhi ya viashiria vya uchumi, wananchi wengi bado wanakabiliwa na ukuaji hafifu, mzigo wa madeni, ukosefu wa ajira na kupungua kwa mikopo kwa sekta binafsi. The post Presha ya uchumi yatikisa Kenya 2027 first appeared on HabariLeo .