TAMISEMI yaibeba ajenda kilimo na ardhi Colombia

COLOMBIA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)  Prof. Riziki Shemdoe, ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa nchi zinazoshughulika na masuala kilimo, ardhi na maendeleo vijijini, ulioanza  Februari 24, 2026 nchini Colombia kwenye jiji la Cartegina. Prof. Shemdoe amemuwakilisha Rais wa Jamhuri … The post TAMISEMI yaibeba ajenda kilimo na ardhi Colombia first appeared on HabariLeo .