MRENGO wa kisiasa wa ‘Linda Mwananchi’ umezua msisimko mkubwa wa kisiasa katika siasa za humu nchini.Siasa za mrengo huu zimeashiria kuleta mwanga wa ukombozi na kuondoa dhana ya kuwa vijana ni viongozi wa kesho tu. Iwapo chama cha ODM kitawaondoa wanachama wake wanaoonekana kuwa waasi, hicho kitakuwa kichocheo cha kuimarisha umaarufu wao na huenda wakapata […]