Kampuni ya Gf Trucks & Equipment’s Ltd imeungana na chama cha wachimbaji madini wadogo Femata katika safari ya nchini Canada kushiriki maonyesho ya Teknolojia ya madini nchini humo Gf ambao ni walezi wa wachimbaji hao leo imewapa pongezi na mkono wa Baraka katika hatua hiyo ya kupata mualiko wa kushiriki maonyesho makubwa nchini Canada Wakiwa […] The post GF YAUNGANA NA FEMATA SAFARI YA CANADA appeared first on Jambo TV Online .