‘Jengo la watoto njiti Hospitali Kwimba ni mkombozi’

MWANZA; MKAZI wa Mtaa wa National uliopo Ngudu, wilayani Kwimba mkoani Mwanza, Joyce Emmanuel, amesema kukamilika kwa jengo la watoto njiti kwenye Hospitali ya kwimba ni ukombozi kwa wananchi wa wilaya hiyo. Akizungumza nyumbani kwake wakati wa ziara ya viongozi mbalimbali, Joyce amesema alijifungua mapacha akiwa na ujauzito wa miezi sita, kila mmoja akiwa na … The post ‘Jengo la watoto njiti Hospitali Kwimba ni mkombozi’ first appeared on HabariLeo .