Vitabu vipya kuongeza umahiri wanafunzi MUHAS

DAR ES SALAAM: WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) wametakiwa kutumia vitabu vipya vilivyozinduliwa na mwandishi wa vitabu hivyo, Profesa David Ngasapa chuoni hapo leo Februari 25. Kwa kufanya hivyo, wanafunzi hao watapata elimu inayozingatia umahiri na kuwaandaa kuwa madaktari bora baadaye. Pia itawapa urahisi wa kujifunza kwenye kliniki. Akizungumza … The post Vitabu vipya kuongeza umahiri wanafunzi MUHAS first appeared on HabariLeo .