Mwezi wa toba; fursa ya kutakasika au kusubiri hukumu ya tume?
Naanza uchambuzi huu kwa kuweka wazi msimamo wangu: ninaafiki rai ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, kwamba tusizidi kuyachimbua kwa kina matukio ya Oktoba 29, 2026 ili kuepusha kuendeleza majeraha ya kitaifa.