WAKULIMA IRINGA WAPATIWA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA UDUMAVU.

Katika jitihada za kupunguza tatizo la udumavu mkoani Iringa, wakulima kutoka vyama msingi vya ushirika vinavyosimamiwa na chama kikuu cha ushirika cha Iringa (IFCUM) wamepatiwa mafunzo ya kuzalisha viazi, mahindi, na maharagwe vyenye virutubisho mafunzo yaliyoambatana na ugawaji wa mbegu bure, hatua inayolenga kuongeza uzalishaji wa mazao yenye virutubisho na kuboresha lishe kwa watoto na […] The post WAKULIMA IRINGA WAPATIWA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA UDUMAVU. appeared first on Jambo TV Online .