Wananchi waishio pembezoni mwa barabara kuu ya Dodoma - Iringa katika kata za Manzase na Fufu wameiomba Serikali kuboresha ujenzi wa barabara hiyo ambayo imekuwa kero wakati wa mvua.