Hukumu ya kifo msaidizi wa ndani Mganda nchini Syria yazua mjadala

Kesi ya mfanyakazi wa ndani wa Uganda, Vicky Ajok, aliyohukumiwa kifo nchini Syria alikokuwa akifanyia kazi hiyo, imeibua mjadala wa maisha ya wafanyakazi wa ndani wakiwemo wanaosafiri kwenda mataifa ya nje.