Hakuna maendeleo bila ushirikiano – Waziri Sangu

Jamii imetakiwa kuimarisha na kuenzi utamaduni wa ushirikiano kupitia majadiliano ya mara kwa mara, hatua itakayochangia kujenga Taifa lenye ustawi na maendeleo endelevu.