Rc Makalla aipokea Rasmi na kuwaomba wananchi wa Arusha kuiunga Mkono Mkuu wa Mkoa wa Arusha CPA Amos Gabriel Makalla leo Jumatano Februari 25, 2026 kwenye Makao Makuu ya Mamlaka ya Mapato TRA, Mkoa wa Arusha ameipokea rasmi timu ya Mpira wa Miguu ya TRA United, inayoshiriki Ligi Kuu na ambayo imehamishia makazi yake Mkoani …