Fumua fumua ya uongozi au watendaji wa sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wengine inaweza kufanyika wakati wowote ndani ya chama hicho, Mwananchi imeelezwa.