Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, anatarajia kufanya ziara nchini Algeria, Cameroon, Angola, na Equatorial Guinea katikati ya Aprili taarifa iliyotolewa na Vatican Februari 25, 2026.