Mwigulu ataka uchunguzi ujenzi ofisi ya DC Kiteto

MANYARA: WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amemtaka kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara, Bahati Haule, kufanya uchunguzi wa kina na kuwasilisha taarifa ya kila aliyehusika kuchukua fedha za mradi wa ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto. Dk Mwigulu amesema kuwa pamoja na kurejeshwa kwa fedha … The post Mwigulu ataka uchunguzi ujenzi ofisi ya DC Kiteto first appeared on HabariLeo .