Makundi maalumu yasisitizwa maendeleo jumuishi

DAR ES SALAAM: KATIBU Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abdul Mhinte, amesema ushirikiano kati ya serikali na sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha maendeleo jumuishi, akisisitiza kuwa makundi maalum yanapaswa kuwezeshwa kwa kupatiwa mahitaji yao muhimu ili kuhakikisha hakuna mtu anayebaki nyuma katika safari ya ujenzi wa taifa. Mhinte amesema hayo leo Februari … The post Makundi maalumu yasisitizwa maendeleo jumuishi first appeared on HabariLeo .