Kortini akidaiwa kughushi barua za vyuo vikuu

Mkazi wa Kibamba, Hakeem Palangyo, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka manne, likiwemo la kugushi barua za vyuo vikuu.