Zaidi ya watu 60,000 kunufaika na mpango wa bima ya afya Shinyanga

Watu 63,541 mkoani Shinyanga wanatarajia kunufaika na mpango wa Bima ya Afya kwa wote ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali kuboresha huduma za afya na kuhakikisha kila mwananchi anapata matibabu ya uhakika.