DAR ES SALAAM: MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amekiri kupokea taarifa za kukamatwa kwa meli ya FMS Eagles yenye bendera ya Tanzania, inayodaiwa kukutwa na tani 6.6 za dawa za kulevya nchini El Salvador. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Msigwa amesema kwa mujibu wa takwimu za usajili, meli hiyo … The post Msigwa amaliza utata meli iliyokamatwa El Salvador first appeared on HabariLeo .