Rithe: Tutaadhimisha mwezi wa wanawake kwa kuwakumbuka waliopoteza maisha Oktoba 29, 2025

Ngome ya Wanawake ya Chama cha ACT-Wazalendo imetangaza kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, pamoja na mwezi mzima wa Machi, kwa kuwakumbuka waliopoteza maisha wakati wa vurugu zilizotokea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.