SIMIYU: Serikali imeitaka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala kuendelea kutatua changamoto zote zilizopo katika mfumo stakabadhi ghalani kwani ndiyo mfumo ambao umeonyesha mafanikio makubwa katika kumlinda Mkulima. Aidha, bodi hiyo imetakiwa kuweka nguvu zaidi katika kuwawezesha wadau wote ili wawezesha kushiriki kikamilifu katika mfumo huo kuanzia shambani hadi sokoni na siyo kubaki katika … The post Serikali yasisitiza mfumo stakabadhi ghalani kwa mkulima first appeared on HabariLeo .