Mikoa yaanza kukabili Uviko-19 na mafua makali, wananchi wasuasua

Siku moja baada ya taarifa za ongezeko la wagonjwa wa Uviko-19 na mafua makali ya Influenza katika maeneo mbalimbali nchini, hali ya utekelezaji wa hatua za kujikinga imeanza kuchukuliwa baadhi ya maeneo, huku wananchi wakionekana kutochukua tahadhari hususan katika majiji makubwa.