Hizi ndizo barabara utakapopita mwili wa Kardinali Pengo kutoka Hospitali ya Lugalo

Kesho, Ijumaa Februari 27, 2026 waumini wa Kanisa Katoliki na Taifa kwa jumla watakuwa katika siku ya majonzi na tafakari, wakati wakiaga mwili wa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kabla ya maziko yake yatakayofanyika katika Kituo cha Hija Pugu.