SMZ yajizatiti kulinda vijana dhidi ya madhara ya matumizi ya mitandao

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imekiri kuwepo kwa changamoto na vihatarishi vya matumizi yasiyo salama ya mitandao hususani kwa vijana huku ikiahidi kuitafutia utatuzi.