Masaju akomaa na haki za raia

Wakati Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, akiwataka majaji na mahakimu kuhakikisha wanatenda haki, kuzingatia maadili na kujiepusha na vitendo vya rushwa, wadau wamesema azma hiyo itafanikiwa iwapo wahusika watatengenezewa mazingira mazuri ya kazi.