Kamati ya uongozi mradi wa JNHPP yakagua maendeleo ya Nwawa la Julius Nyerere

Yasema mradi umesimamiwa na kutekelezwa kwa ufanisi Yasisitiza ni kichocheo muhimu katika fursa za kiuchumi na kijamii Kamati ya Uongozi wa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), Februari 26, 2026, imekagua maendeleo ya uzalishaji wa umeme katika bwawa la Julius Nyerere na kueleza kuridhishwa na usimamizi pamoja na utekelezaji wake, uliokidhi viwango vya ubora …